Header Ads Widget

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI SIMBACHAWENESIMBACHAWENE AITAHADHARISHA JAMII YA WATANZANIA KUJIEPUSHA NA DHULMA ,UONGO NA UBINAFSI.


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameitahadharisha jamii ya watanzania kujiepusha na msukumo wa dhulma,uongo na ubinafsi unaoenezwa kupitia  mitandao ya kijamii…. …

Ametoa rai hiyo leo, wakati wa Ibada ya Krismasi iliyosaliwa katika Kanisa la Parokia ya Pwaga, wilayani Mpwapwa, mkoani Dodoma  huku Paroko wa Parokia hiyo,Padri Daniel Kijaji akimuombea hekima na busara katika jukumu alilokabidhiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan la kuiongoza wizara hiyo ambapo pia alimshukuru kwa kuchangia kiasi cha Shilingi Milioni Kumi kwa ajili ya ujenzi wa Kanisa hilo.



 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI