Header Ads Widget

SIMBA SC WAMFUTA KAZI KOCHA PANTEV

 


Uamuzi wa Simba kuachana ghafla na Meneja wake Dimitar Pantev ambaye alikuwa mkuu wa benchi la ufundi, leo Jumanne, Desemba 2, 2025 unatajwa kuchangiwa na sababu tatu.

Kupitia taarifa yake kwa vyombo vya habari, Simba imeanika kuwa imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba wa Pantev na timu hiyo itakuwa chini ya usimamizi wa Selemani Matola kwa sasa wakati ikisaka Kocha Mkuu mpya.

"Uongozi wa klabu ya Simba umefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kusitisha mkataba na Meneja Mkuu Dimitar Pantev pamoja na Wasaidizi wake wawili.


JIUNGE NA APP YA MATUKIO DAIMA BURE BONYEZA LINK HIIKUJIUNGA NA APP YA MATUKIO DAIMA BURE BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI