Na,Jusline Marco;Kilimanjaro.
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imeshiriki katika tamasha la mbili za Rombo lililofanyika leo Desemba 23, 2025, Rombo Mkoani Kilimanjaro na kuvutia wageni kutoka maeneo mbalimbali ya ndani na nje ya nchi.
Mbio hizo zimejumuisha pia watumishi wa Mamlaka hiyo ambao wameshiriki mbio za umbali tofauti hali ambayo inadhihirisha jitihada za NCAA katika kuunga mkono sekta ya michezo, kutangaza vivutio vya utalii kupitia utalii wa michezo, kujenga uhusiano na wadau kupitia matukio ya kijamii ya kitaifa na kimataifa.
.









0 Comments