Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa CCM (UVCCM) wilaya ya Mbarali Medson Mwambapa akiwa na Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya kupitia kundi la wanawake Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi wakiwa jijini Dodoma baada ya kushiriki shughuli ya kuaga mwili wa marehemu Mhe. Jenista J. Mhagama aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Peramiho mkoani Ruvuma.
Mwili wa marehemu Mhe. Jenista Mhagama ambaye amekuwa Mbunge kwa zaidi ya miaka ishirini na kutumikia nafasi mbalimbali ikiwemo uwaziri wa afya, unatarajiwa kuzikwa nyumbani kwao Peramiho mkoani Ruvuma Desemba 16, 2025.






0 Comments