Header Ads Widget

MAWAZIRI MBALIMBALI PAMOJA NA WAZEE WASHIRIKI MKUTANO WA MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN UKUMBI WA JNICC DAR ES SALAAM


Mawaziri mbalimbali wakiwa katika mkutano wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Wazee wa Dar es Salaam ambapo Rais Dkt. Samia anatarajiwa kuzungumza na wazee hao na kulihutubia taifa kupitia mkutano huo katika ukumbi wa Julius Nyerere JNICC jijini Dar es Salaam leo Desemba 02, 2025.

Kutoka kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo, Abdalla Ulega Waziri wa Unjenzi na Profesa Riziki Shemdoe Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa wakiwa katika mkutano huo.




Wazee mbalimbali wa jiji la Dar es Salaam wakiwa tayari katika ukumbi wa Julius Nyerere jinini Dar es Salaam tayari kwa kumsikiliza Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati atakapozungumza nap na kulihutubia taifa kupitia mkutano huo. 





Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI