Header Ads Widget

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR HEMED SULEIMAN AZUNGUMZA NA WAKUU WA TAASISI


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akizungumza na Wakuu wa Taasisi, Wakurugenzi Mipango, Wakurugenzi Utumishi wa Mawizara na Taasisi zote za Umma kwenye kikao kazi kilichofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.

Imetolewa na Kitengo cha Habari (OMPR 

Tarehe 02.12.2025



 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI