Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka leo Desemba 17, 2025 amefungua Kikao Kazi cha Kitaifa cha Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais na Maafisa Habari wa Serikali ambacho kinafanyika katika Hoteli ya Johari Rotana, jijini Dar es Salaam.
Kikao kazi hicho kinachoongozwa na Kaulimbiu: “Utu na Mawasiliano Yenye Uwajibikaji” kimeandaliwa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu kwa kushirikiana na Idara ya Habari (Maelezo).









0 Comments