Profesa Daktari Gilbert A. Kwakye wa Hospitali ya ICBS General alisisitiza kwamba ikiwa kila mtu anayepokea taarifa hii atasambaza kwa watu kumi wengine, hakika angalau maisha moja yataokolewa.
Nimefanya sehemu yangu ya wajibu, natumaini nawe utaifanya pia.
Asante!
FAIDA
Maji ya nanasi ya moto yanaweza kukuokoa maisha yako yote.
Nanasi ya moto inaweza kuua seli za saratani.
Kata vipande 2 hadi 3 vya nanasi viwe vyembamba, weka kwenye kikombe, ongeza maji ya moto; yatakuwa “maji ya alkali”. Kunywa kila siku, ni mazuri kwa kila mtu.
Nanasi ya moto hutoa vitu vinavyopambana na saratani, ambavyo ni maendeleo ya hivi karibuni katika matibabu bora ya saratani kwenye tiba ya kisasa.
Tunda la nanasi ya moto lina athari ya kuua uvimbe wa maji (cysts) na vivimbe (tumors). Imethibitishwa kurekebisha aina zote za saratani.
Maji ya nanasi ya moto yanaweza kuua vijidudu vyote na sumu mwilini kutokana na mzio / aleji.
Aina ya dawa yenye dondoo la nanasi huharibu tu seli hatarishi, haiathiri seli zenye afya.
Zaidi ya hayo, amino asidi na polifenoli za nanasi kwenye juisi ya nanasi zinaweza kudhibiti shinikizo la juu la damu, kuzuia kuziba kwa mishipa ya ndani ya damu, kurekebisha mzunguko wa damu na kupunguza mgando wa damu.
Baada ya kusoma, waambie wengine, familia na marafiki. Jali afya yako mwenyewe. Tafadhali usifiche ujumbe huu. Sambaza na utaokoa maisha.
Ila kumbuka Maelezo haya hayajathibitishwa kisayansi. Nanasi ni tunda lenye virutubisho, lakini halithibitishwi kutibu au kuua saratani. Kwa masuala ya afya, ni muhimu kushauriana na mtaalamu wa afya.






0 Comments