Taarifa zilizotufikia hivi punde Kutoka Dodoma ni kuwa Mbunge wa Ilala Mussa Azzan Zungu amechaguliwa kwa kishindo kuwa Mgombea wa Spika la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupiti CCM katika Uchaguzi uliomalizika hivi punde huko Dodoma.
Taarifa zinasema Zungu amepata Kura 348 akimshinda mpinzani wake Stephen Masele aliyepata kura 16.






0 Comments