Na Matukio Daima Media
"Mimi kama Kijana natarajia mambo mema sana kwa huu usawa aliokuwa nao Mama Samia Suluhu Hassan kwasababu tunaenda sehemu sahihi zaidi kuliko kule tulikotoka kwasababu naamini Mama Samia atafanya mambo mazuri kwa Vijana, akinamama na dada zetu na ndugu zetu wengine.
"Kikubwa niendelee kuwaomba Vijana tuendelee kupambana na tuepuke vishawishi mbalimbali na zaidi tuendelee kumuombea Rais Samia na kumsaidia katika masuala mbalimbali."- Hamza Rufeni, Mkazi wa Dar Es Salaam akitoa maoni yake kuhusu Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan ya ufunguzi wa Bunge na hotuba yake alipokuwa akiwaapisha Mawaziri na Manaibu Mawaziri Jumanne Novemba 18, 2025.






0 Comments