Header Ads Widget

TUITUMIE MITANDAO KUTAFUTA PESA, SIO KUFANYA UCHOCHEZI- VIJANA WAFUNGUKA


Wito umetolewa kwa vijana wote nchini Tanzania kuitafuta amani kwa wivu mkubwa badala ya kuendekeza machafuko huku wakitumia mitandao ya kujamii kufanya uchochezi.

Haya yamebainishwa leo Novemba 10, 2025 Wakati vijana walipozungumza na waandishi wa Habari kuhusu athari za Maandamano ya vurugu yaliyotofanyika Oktoba 29, 2025 ambayo yameliacha Taifa katika simanzi zito.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI