Header Ads Widget

ANATAFUTWA NA NDUGU ZAKE

  


Familia ya ELIA JOHN inasikitika kutangaza kupotea kwa ndugu yao ELIA JOHN aliyepotea siku ya Jumamosi mchana, tarehe 4 Oktoba 2025.

Elia aliondoka Pugu Kajiungeni kuelekea Kariakoo na baadaye alitoa taarifa kuwa hakupata alichokuwa anakifuata huko Kariakoo, hivyo alikuwa anaelekea Mwananyamala. 

Mawasiliano ya mwisho na familia yalikuwa wakati akiwa kwenye boda boda akielekea Mwananyamala, ambako alithibitisha kuwa amefika. Baada ya hapo, hakupatikana tena hewani kuanzia majira ya saa 7:00 mchana.

Elia ana akili timamu na hana matatizo yoyote ya afya ya akili.

Taarifa ya kupotea kwake imeripotiwa katika Kituo cha Polisi Pugu tarehe 5 Oktoba 2025 chini ya RB Namba: PUG/RB/588/2025.

Tunaomba yeyote mwenye taarifa zozote kuhusu kupatikana kwake au aliyemuona tafadhali awasiliane kupitia namba zifuatazo:

📞 0616 416 124

📞 0755 917 710

📞 0788 335 994

Au toa taarifa katika kituo chochote cha Polisi nchini.

Tunawaomba pia msambaze ujumbe huu ili kusaidia kumpata haraka.

Tangazo limetolewa na:

Familia ya Elia John

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI