Header Ads Widget

TANZIA:MWENYEKITI CHADEMA JIMBO LA IRINGA MJINI FRANK NYALUSI AFARIKI DUNIA

 


Frank John Nyalusi aliyekuwa mwenyekiti CHADEMA jimbo la  Iringa mjini amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Septemba 19 katika Hospital ya Rufaa ya mkoa wa Iringa alikokuwa amelazwa.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI