Header Ads Widget

TUME YA UCHAGUZI YAKUTANA KUPITIA RUFAA ZA WAGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, leo tarehe 31 Agosti, 2025 Dodoma  imekaa na kujadili rufaa kuhusu uteuzi wa wagombea Ubunge katika Jamhuri ya Muungano na Udiwani kwa Tanzania Bara zilizowasilishwa Tume kwa ajili ya uamuzi.






Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI