Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi Jimbo la Itilima Ndg. Polycarp B. Mtapanya akimkabidhi Fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo hilo, Njalu Silanga.
Na Matukio Daima App.
MGOMBEA wa Kiti cha Umbunge wa Jimbo la Itilima Kwa tiketi ya CCM Ndg. Njalu D. Silanga leo tarehe 25/8/2025 amechukua fomu za uteuzi wa Wagombea Kiti cha Ubunge Jimbo la itilima kutoka Kwa Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi Jimbo la Itilima Ndg. Polycarp B. Mtapanya Kwa Niyaba ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi.
Mwisho.
0 Comments