Na mwandishi wetu
Timu ya taifa ya Morocco imeendeleza ubabe katika michuano
ya CHAN baada yakushinda mchezo wa nusu fainal uliopigwa katika uwanja wa
Mandela nchini Uganda dhidi ya Timu ya taifa ya Senegali
Katika mchezo huo uliochezwa majira ya saa mbili usiku
,mchezo huo ulimalizika kwa sare ya 1-1 nakufanya kwenda kwenye changamoto za
mikwaju ya penalty ambapo Morocco alipata ushindi wa 5-3,na kwa matokeo hayo
Morocco amefanikiwa kutinga hatua ya fainal ambapo atakutana na Senegali.
Hata hivyo Morocco kabla ya ushindi huo dhidi ya senegali
ilikuwa katika kundi A lililokuwa na timu kama ,Kenya ,congo ,Zambia na Morocco
na katika kundi hilo Morocco alitoka nafasi ya pili akiwa na alama 7.
Hivyo Morocco alikutana na Tanzania ambapo Morocco ilishinda
1=0, hali iliyomfanya Morocco kwenda katika hatua inayofuata ya nusu fainal.
Baada kumaliza nusu fainal Morocco katinga katika hatua ya Fainal ambapo atacheza na Madagascar katika hatua hiyo.
0 Comments