Header Ads Widget

HARAMBEE STARS YA ENDELEZA UBABE CHAN.

Timu ya taifa ya kenya [Harambee stars ]yaendeleza ubabe katika kundi A baada ya kulifunga taifa la Morocco 1-0 ,katika mashindano yanayo endelea ya CHAN 2024 katika nchi tatu za Afrika mashariki ,Kenya,Tanzania na Uganda.

Timu ya Harambee stars imekuwa ikipata matokeo yake kwa ugumu sana kutokana na matukio ya kadi nyekundu ambayo imekuwa ikipata ,na katika mechi dhidi ya Morocco Harambee stars ilipata kadi ambayo ilipelekea kucheza pungufu kma ilivyo kuwa katika mechi dhidi ya Angola .

Hatahivyo katika matokeo hayo Harambee stars imeendelea kujichimbia kileleni zaid katika msimamo wa ligi kwa kuwa na alama 8 ,huku ikifuatiwa na Morocco yenye alama 3,kwa kenya imebakia michezo miwili kuweza kutamatisha mzunguko wa kundi huku akibakiwa na mechi moja kuweza kufuzu hatua ya robo fainal. 


 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI