Elimu ya VIPIMO ikitolewa kwa wanafunzi waliotembelea Banda la Wakala wa Vipimo (WMA) katika siku ya nne (04) ya Maonesho ya Kilimo, maarufu kama Nanenane, Uwanja wa Nzuguni, Dodoma. WMA imepanga kuanzisha vilabu (clubs) vya elimu ya vipimo mashuleni ikiwa ni mkakati wa kupanua wigo wa utoaji elimu ya vipimo kwa jamii.
0 Comments