Header Ads Widget

RAIS DK. SAMIA AZINDUA KIWANDA CHA BIO-SUSTAIN, AWAHAKIKISHIA MAZINGIRA MAZURI WAWEKEZAJI.

 



Na COSTANTINE MATHIAS, Meatu.


RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa serikali inaendelea kuvutia wawekezaji Kwa kuweka Mazingira Rafiki pamoja na kutoa maeneo ili kujenga viwanda ambavyo vimetoa ajira na kuchangia pato la Taifa.


Aidha Rais, Dkt. Samia amewahakikisha wawekezaji nchini kuwa serikali itaendelea kuwaunga mkono wawekezajiI wa ndani ili kupanua soko la ajira na kuongeza thamani ya uwekezaji hasa kwenye zao la Pamba.


Ameyasema hayo kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Stendi wilayani Meatu mara baada ya kufungua Kiwanda Cha Kuchakata pamba Cha Bio Sustain klichopo wilayani humo.


Amesema kuwa Kiwanda hicho cha Biosastain kitapanua soko la ajira na kuongeza thamani ya Pamba ambapo kitatoa ajira 375 za moja kwa moja na ajira 800 za muda mfupi.



Mwisho.












Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI