Header Ads Widget

DED SELENDA ASHTUKIZA KUKAGUA VIBALI MALORI YA MACHIMBO YA MCHANGA BAGAMOYO

 



Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Bw Shauri Selenda  amefanya ziara kukagua  vibali vya uchimbaji wa mchanga kwa magari yote yanayofanya shughuli hizo katika Kata za Mapinga,Kerege,Zinga na Kiromo.

DED Selenda ametoa ushauri na elimu kwa madereva na wamiliki wa magari hayo juu ya 

kuhakikisha wanalipa ushuru wa Halmashauri ili kuepuka faini na adhabu mbalimbali 

Aidha Mkurugenzi amewasisitiza kuhakikisha wanaendelea kulinda na kutunza mazingira kama ambavyo kauli mbiu inavyotaka  "Mazingira yetu na Tanzania ijayo,tuwajibike sasa".



Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI