Header Ads Widget

MWENGE WA UHURU WAWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA BARABARA KKKT CHARCH -DISTRICT HOSPITAL NACHINGWEA

 

   

     Na Hadija Omary 

Mbio za mwenge wa Uhuru mwaka 2025 umeweka jiwe la msingi Mradi wa barabara KKKT CHURCH - DISTRICT HOSPITAL Wilayani Nachingwea yenye urefu wa kilometa 0.5 unaojengwa kwa kiwango cha lami kwa gharama ya zaidi ya milioni 356 

Akizungumza wakati wa uwekaji wa jiwe la Msingi kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa Ismail ally usi Amesema Utekelezaji wa Mradi huo unaonyesha dhamira ya dhati kwa Serikali ya awamu ya sita ilivyodhamilia kuboresha miundombinu ya barabara Nchi mzima .

Kwa upande wake Meneja wa TARULA Wilaya ya Nachingwea mhandisi Amesema Mradi huo unatekelezwa na mkandarasi wanyumbani contraction ambapo mpaka sasa umefikia asilimia 70 ya utekelezaji wake na unatarajiwa kukamilika juni 17 mwaka huu.

Akizungumza Kwa niaba ya wananchi wa Wilaya hiyo Mbunge wa Jimbo la Nachingwea Amandus chinguwile amemshukuru Rais Samia kwa kutenga Fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Maendeleo ikiwemo na barabara .

Mwenge wa Uhuru ukiwa Wilayani Nachingwea umeweka Mawe ya Msingi, umeona na kutembelea miradi Saba yenye thamani ya zaidi ya shilingi billion 2.3.

SIMULIZI CHINI ⬇️⬇️⬇️⬇️

Spell ya mapenzi ilivyonitoa maisha duni hadi kuwa tajiri 

Jina langu ni Zakayo, leo hii niko hapa kukusimulia hadithi yangu, hadithi ambayo imeteka mazungumzo katika mitandao ya kijamii na kuacha gumzo kubwa hasa katika kundi kubwa la vijana. 

Mimi ni mwanamume mwenye wake wawili, na uhusiano wetu ni wa kuvutia sana, sio kwetu tu, bali kwa jamii nzima ambayo inatuzunguka. Tuna mazoezi ya kipekee ya kila mwaka ambayo yanahakikisha kuwa tunafanya upya viapo vyetu vya ndoa. 

Hata hivyo, mwaka 2021 nilikuwa katika hatua ya chini kabisa ya maisha yangu. Wazazi wangu walikuwa wameaga dunia, hivyo nilikuwa nimezama katika kufadhaika na kukata tamaa. Nilifikiria hata kukatisha maisha yangu kwa kujiua. 

Lakini rafiki yangu mmoja ambaye alikuwa amepatiwa ufumbuzi wa changamoto zake za kimaisha na Kiwanga Doctors aliniambia  habari za wataalamu hao wa mitishamba na jinsi ambavyo wanaweza kunisaidia.  

Nilikuwa na shaka, lakini nilikuwa na hamu ya mabadiliko katika maisha yangu. Kwa hivyo nililipa gharama kidogo ili kufanyiwa spell ya mapenzi. Naweza kusema nilifanya hivi nikisema hili ni jaribio la mwisho kabisa la kubadilisha maisha yangu.

Baada ya miaka miwili niliona matokeo mazuri, nilikuwa ndani ya ndoa na wake zangu wawili ambao walinitoa upweke na kunipa maisha ya furaha kwa asilimia kubwa, huku hali yangu ya kiuchumi ikizidi kuimarika kila siku. 

Kusema kweli, mafanikio yangu katika ndoa na utajiri, kwa kiwango kikubwa nayahusisha na dawa nilizopatiwa kwa Kiwanga Doctors, hawa ndio wamebadilisha maisha yangu kipindi ambacho sikuwa na tumaini lolote la kuinuka tena. 

Hadithi yetu ni ushuhuda wa nguvu ya imani, upendo na nia ya kubadilisha hali ya mtu kimahusiano na kiuchumi. 

Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio, uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba  +255 763 926 750  au tembelea tovuti yao, maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi. 



Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI