Maandalizi ya kuaga mwili wa Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Cleopa David Msuya, yakiendelea katika Uwanja wa Cleopa David Msuya, wilayani Mwanga, Mkoa Kilimanjaro, leo Mei 11, 2025.
Msimamizi wa Uchaguzi, Bi. Magreth Mangasa akimkabidhi fomu za kugombea Ubunge kupitia…
0 Comments