Header Ads Widget

🛑BREAKING :TLS IRINGA WAJITOSA KUZISAIDIA FAMILIA ZILIYOVUNJIWA NYUMBA DONBOSCO IRINGA


NA MATUKIO DAIMA MEDIA 

IKIWA ni siku moja toka Matukio Daima Media kuripoti tukio la Familia mbili za Mseven Mgaya na Paul Mkuba eneo la Don Bosco mjini Iringa kuvunjiwa Nyumba na madalali waliodai ni wanatekeleza agizo la Mahakama ,Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society – TLS), kanda  ya Iringa, kimetangaza kujitosa kuisaidia familia hiyo kupata haki .

Taarifa ambayo Matukio Daima Media imeitoa  ikionesha familia kadhaa zikilalamika kubomolewa nyumba bila maelezo ya wazi kuhusu mchakato wa kisheria uliotumika.

Mwenyekiti wa TLS Iringa wakili Moses Ambwindwile

Wakili Moses Ambindwile  amesema kuwa chama hicho kitachukua hatua ya awali ya kufuatilia ukweli wa tukio hilo. 

Alisema kuwa iwapo itabainika kuwa ubomoaji huo  haukufuata taratibu za kisheria, TLS itatoa msaada wa kisheria kupitia Dawati lake la  Msaada wa Kisheria linalosimamiwa na Wakili Rev. Joshua Chussy.

Msaada huo unatolewa kwa mujibu wa Kifungu cha 4 cha Sheria ya Tanganyika Law Society (The Tanganyika Law Society Act, Cap 307), kinachoiruhusu TLS kushughulikia na kutoa msaada wa kisheria kwa masuala yanayogusa haki za wananchi.

“Ni jukumu letu kama TLS kuhakikisha kuwa haki za wananchi hazivunjwi hakuna mtu anayepaswa kunyimwa haki ya kusikilizwa au kuondolewa katika makazi yake bila kufuata utaratibu wa kisheria,” alisema Wakili Ambindwile.


TLS Iringa imekuwa mstari wa mbele katika kutetea haki za wananchi, ambapo mwaka 2024 ilifanikiwa kumsaidia kisheria Bi. Maria Ngoda, aliyekuwa amehukumiwa kifungo cha miaka 22 kwa kupatikana na vipande 12 vya nyama ya swala. 

Kwa kupitia rufaa ya TLS, Mahakama Kuu ya Tanzania ilimuachia huru baada ya kubaini kasoro katika mwenendo wa kesi hiyo.

TLS inatoa wito kwa wananchi wote waliokumbwa na tukio la kuvunjwa nyumba au tukio jingine linalodai ukiukwaji wa haki, kujitokeza na kutoa taarifa kwa TLS kupitia dawati lake la msaada wa kisheria ili hatua stahiki zichukuliwe.

MWISHO 


SIMULIZI NZURI CHINI ⬇️⬇️⬇️⬇️


Wakati unapohisi hofu zaidi, ndio wakati wa kufanikiwa" alisema Babu huyo...! 

Yeye sio tu mzee anayengojea simu ya mwisho, hakuwa amekata tamaa, akiwa pale nyumbani, Babu yangu alitaka kutoa njia ya mwisho na muhimu katika maisha, ni ujumbe ambao alikuwa ameufikiria kwa muda mrefu. 

Tulikusanyika huku tukitumaini kupata kila alichosema, kwanza, alituonya dhidi ya kuitikia kila aina jambo, alisema kufanya hivyo kutamaanisha kuwa tutakuwa tunafanya mambo kulingana na kile watu kinachotokea. 

"Wakati unapohisi hofu zaidi, ndio wakati wa kufanikiwa, urahisi hautakufanya ukue, unajua kadiri unavyopinga mabadiliko, ndivyo unavyozidi kudumaa kimaisha na kiuchumi," alisema Babu. 

Alituonya dhidi ya kupuuza mila na maadili yetu na kukumbatia maisha ya kisasa tu ambayo yameletwa na nchi za magharibi, alisema mila zetu ni ukumbusho wa pale tulipotoka kwamba bila hizo mila tungepotea kabisa. 

Pia alisisitiza juu ya umuhimu wa kuomba msaada kwa watu wengi ambao ni sahihi haswa wakati shida hiyo inahitaji akili zaidi ya moja kutatuliwaa. 

Aliendelea kwa kusema kuwa wakati wa shida alikuwa na watu kadhaa ambao wangeweza kumpa ushauri na msaada ambao utamkwamua kutoka kwenye shida hiyo na mara zote alikuwa akifanikiwa. 

Anasema alipotaka kupanua biashara yake na kujitosa katika ujenzi wa nyumba, alikwenda kutafuta huduma za mganga wa jadi maarufu kama Kiwanga Doctors ambao walimsaidia kupata fedha zake nyingi za kuikuza.

Babu alitabasamu huku akisimulia jinsi biashara yake ilivyokua ndani ya muda mfupi tu, ndipo akanunua kipande chake cha kwanza cha ardhi huko Upperhill Nairobi. 

Anasema kwa msaada wa Kiwanga Doctors, himaya yake kibiashara ilikua kubwa sana, na sasaa anahitaji kukabidhi ufalme huo mikononi mwetu maana ndio vijana wenye nguvu kwa sasa lakini tusisahau kuwa karibu na Kiwanga kwani wanaweza kuongeza bahati katika kazi zetu.

"Ninajua jinsi hii inaweza kuonekana kuwa ngumu lakini ichukueni kutoka kwa mzee niliye na uzoefu. Ikiwa haifanyi kazi, kamwe nisingewaambia muwasiliane na Kiwanga Doctors, namewaambia hivyo kutokana najua wapi aliponitoa," alisema Babu yetu. 

Vilevile Kiwanga Doctors wana uzoefu wa miongo kadhaa ya kutibu kwa kutumia dawa kali za mitishamba kuponya magonjwa kama shinikizo la damu, kisukari, vidonda vya tumbo, kisonono, kaswende, TB, miguu kuvimba au kuwaka moto n.k. 

Vilevile hushughulikia matatizo ya jumla kuanzia kushinda kesi za mahakama, kushinda bahati nasibu, ulinzi wa familia na mali na hutabiri kwa usahihi nyota.

Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio, uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba  +255 763 926 750  au tembelea tovuti yao, maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi. 


Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI