Mkurugenzi wa Matukio Daima Francis Godwin Mzee wa Matukio Daima katikati akifurahi jambo na Mwanahabari wa Ebony FM Edwin Bashir (Kulia ) na Mwenyekiti wa IPC Frank Leonard baada ya Kukutana pamoja kwenye tukio la ugawaji jezi kwa timu zinazoshiriki mashindano ya Vunja Bei 2025 katika viwanja vya Kalenga
0 Comments