NA WILLIUM PAUL, HABARI NA MATUKIO APP,MWANGA.
WATU nane wamefariki Dunia na wengine thelathini na moja kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupinduka wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Jeshi la zimamoto na uokoaji mkoani wa Kilimanjaro, Mrakibu Msaidizi Jeremiah Mkomagi alisema kuwa, tukio hilo limetokea leo majira ya asubuhi katika barabara ya Ugweno - Mwanga.
Alisema kuwa, basi kampuni ya Mvungi lililokuwa likitokea Vuchama Ugweno kuelekea jiji Dar es salaam lilipokuwa likilikwepa gari dogo ndipo lilienda pembezoni mwa ngema ya mlima ambapo uzito uliizidi ngema na kupelekea kuanguka bondeni.
"Kama unavojua kipindi hiki ni cha mvua sasa dereva wa hili basi alikuwa analikwepa gari dogo akawa ameenda pembeni ya kingo ya mlima ndipo uzito ulipolea na kupelea kuangukia bondeni" Alisema Mkomagi.
Alisema kuwa, watu saba walifariki Dunia pale pale huku mmoja akifariki wakati anapatiwa matibabu katika hospitali ya Kanda ya KCMC na wengine 31 kujeruhiwa ambapo majeruhi walikimbizwa katika hospitali ya Kifula pamoja na Hospitali ya Kanda KCMC.
Kwa wake Afisa Uhusiano wa hospitali ya Kanda ya KCMC, Gabriell Chiseo amethibitisha hospitali hiyo kupokea majeruhi saba ambapo wa kike ni wanne na wakiume watatu.
Chiseo alisema kuwa, kati ya majeruhi hao mmoja alifariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu ambaye ni mwanamke.
Mwisho..
SIMULIZI CHINI ⬇️👇👇
Uamuzi uliopelekea kushinda Sh63.7 milioni katika bet
Naitwa Naumu kutokea Songwe, katika utafutaji wangu wa maisha kuna siku niliamua kushiriki mchezo wa bahati nasibu na kuweza kushinda Sh63.7 milioni, nilichukua hatua hiyo baada ya kusikia mchezo huo ukitangazwa kila mara katika redio.
Unajua neno umaskini linapotajwa hakuna mtu yeyote anayetaka limfike ila kila sehemu duniani hakukosi mtu maskini, swali la msingi ni unafanya nini kujiondoa katika hali yako ya umaskini?, kuchukua kwangu hatua ndiko kuliniondoa katika umasikini.
Nilipopata ujumbe mfupi kwenye simu yangu kuwa mimi ndiye mshindi sikuamini hadi nilipopigiwa simu na kampuni hiyo, nilikuwa mwenye furaha isiyo na kifani kwani maisha yangu yote ya awali sikuwahi kupata Sh63.7 milioni.
Hata hivyo, ushindi huo haukuwa kwa uwezo wangu bali kwa usaidizi wa Kiwanga Doctors kutokea Migori, Kenya walioniwezesha kushinda na sasa maisha yangu yamebadilika kwa sehemu kubwa.
Nakumbuka hapo awali nilikuwa sipati fedha nyingi za kutosheleza mahitaji yangu katika biashara yangu, ndipo nikatafuta njia mbabadala na kweli nashukuru nimeweza kufanikiwa.
Basi kwa vile kuna njia nyingi za kutafuta fedha, nilianza kushiriki mchezo wa bahati nasibu, kila siku ningeweza kucheza, nilioona wengi walioushinda wakiusifia mchezo huu jiinsi ulivyobadilisha maisha yao baada ya kushinda.
Unajua ilianzaje?, siku moja nilipokuwa kwenye shughuli zangu mtandaoni niliona tangazo la kibiashara la Kiwanga Doctors, baada ya kulipitia na kusoma tovuti yake, nilipata kufahamu kuwa walikuwa na uwezo wa kumuwezesha yeyote kushinda mchezo bahati nasibu.
Bila kusita niliweza kuichukua namba yao na kuweza kuwapigia na kuweleza kuwa ningependa kushinda mchezo wa bahati nasibu ambao nimeshiriki kwa muda mrefu bila mafanikio ila sasa nahitaji ushindi kama wenzangu.
Kiwanga Doctors alinifanyia kile kinachojulikana kama win bet and jackpots easily na kunishauri mambo kadhaa kuhusu namna ya kucheza bahati nasibu, niliweza kufanya yote aliyonieleza na kushiriki mchezo huo kama kawaida muda wa asubuhi.
Basi siku iliyofuata niliweza kupokea ujumbe mfupi kwenye simu yangu kuwa nimeshinda Sh63.7 milioni., sikuweza kuamini ila ndio hivyo, fedha hii imebadilisha mengi katika maisha yangu kwa sehemu kubwa sana.
Kwa hakika ni watu wengi wamepata mafanikio na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +254 116469840 au tembelea tovuti yao, www.kiwangadoctors.co.tz kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao.
0 Comments