Header Ads Widget

NMB IRINGA YAFANYA ZOEZI LA UTAYARI KWA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KULINGANA NA SHERIA YA TANZANIA


Na Matukio Daima Media 

Benki ya NMB  Tawi la Ruaha Iringa  kwa kushirikiana na jeshi la zimamoto na uokoaji Mkoa wa Iringa Mjini kupitia Kaimu Meneja wa NMB tawi la  Ruaha   Meckzedeck Mwampika, Ameeleza sababu ya kufanya zoezi la utayari kwa jeshi la zimamoto na uokoaji katika benki ya NMB.

Akizungumza na Matukio Daima tv wakati alipokuwa na jeshi la zimamoto Pamoja na Askari wa kutuliza ghasia (FFU) katika eneo la Benki hiyo ya NMB ambapo taharuki kubwa ilikuwa imetawala katika maeneo ya nje ya benki hiyo huku wananchi wakiwa katika hali ya mshangao.


“Leo tulikuwa na zoezi la uokozi na utayari ambapo tulipiga namba 114 na jeshi la zima moto na uokoaji  pamoja  Askari walifika kwa wakati na kuweza kutupa elimu na mafunzo ya namna ya kujiokoa na majanga ya moto lakini pia sisi kama NMB tunaye trained Staff ambaye ni fire martial tulikuwa nae tangu zoezi lilipoanza mpaka lilipoisha na kikubwa zaidi tumeweza kuwaelekeza wateja wetu pamoja na staff wote kuweza kufika katika eneo husika”

Meneja huyo pia ameeleza changamoto ambayo wamekutana nayo  wakati wa zoezi hilo la utayari huku akiwaondoa hofu wateja pamoja na jamii kwa kusema kuwa zoezi hilo lipo katika katiba yetu ya Tanzania kwaajili ya kujipima katika kuweza kujiokoa na majanga ya moto.

“Katika zoezi hili tumepata mtu mmoja ambaye amepata mshtuko lakini kwa msaada wa jeshi la zima moto ameweza kuchukuliwa na kupelekwa hospitalini kwaajili ya kupata huduma ya kwanza na kwa ujumla kwa wateja wetu na jamii nzima inayotuzunguka nipende kuwatoa hofu kwasababu jambo hili lipo katika sheria yetu ya Tanzania kwamba kila sehemu ambapo kunakuwa na mzunguko wa watu basi zoezi kama hili lifanyike atleast mara moja kwa mwaka”


Katika hatua nyingine Afisa mmoja wa jeshi la zimamoto amewataka wafanyakazi wa maofisini kuweza kutambua umuhimu wa madaftari ya kusaini pindi wanapofika ofisini ili kuweza kuwasaidia maafisa wa jeshi la zimamoto na uokoaji wanapokuja katika uokozi wa majanga ya moto.

“Ni muhimu sana kwa wafanyakazi wa maofisini pindi wanapofika katika ofisi zao kuweza kuripoti na kusaini katika sehemu husika  hii inasaidia sana kwa maafisa wa jeshi la zima moto na uokoaji pindi tunapofika katika matukio kama haya jambo la kwanza huwa tunachukua kwanza ripoti na madaftari ya kusaini ili kujua idadi ya wafanyakazi waliopo na kujua wangapi wamekwama”


Aidha Zain Mkadange ambaye ni mfanyabiashara katika eneo hilo la karibu ya benki ya NMB amesema kuwa jeshi la zimamoto na uokoaji limezua taharuki hivyo ni muhimu taasisi husika kutoa tahadhari mapema kwa wanajamii ili kuondoa taharuki kwa wananchi.


“Watu wengi tuliokuwa karibu na eneo hili tumepata mshtuko mkubwa sana na wengi tumeogopa kwa hichi kilichotokea hivyo niombe taasisi husika kutoa taarifa mapema kwa wananchi ili kuweza kuondoa taharuki kwa watu lakini pia jeshi la zimamoto na uokoaji lijitahidi kuweka fire point katika Taasisi mbalimbali”


SIMULIZI 


Baada ya kusumbuka sana, nimepata kazi ya Sh4.6 milioni

Mimi na huyu Kaka tumekua kwenye mahusiano tangu tuko chuo, tunapendana na kila kitu tunafanya pamoja. Baada ya kumaliza chuo tulianza kuishi pamoja, wote hatukua na kazi, tulihangaika mtaani kama miaka minne hivi.

Kipindi hicho tulikua tunapendana sana, yaani kila mtu alikua anatamani mahusiano yetu. Baada ya kuhangaika mtaani sana kutafuta kazi tuliamua kwenda kwa Kiwanga Doctors huko Kenya ili atusaidie kupata kazi. 

Baada ya mtaalam huyo wa tiba asilia kufanya uganga wake, haikuchukua muda mrefu sana kuna kazi ilitokea, mimi na yeye tumesoma kozi moja, basi kuna rafiki yangu aliniunganishia mimi kuipata hiyo kazi. 

Lakini kwakua mpenzi wangu alikua hana kazi basi nilimuomba amuunganishie yeye. Tulikua tumepanga kama akipata hiyo kazi basi mwaka huu nibebe ujauzito na kufunga naye ndoa.

Sasa kwakua mimi nilikua nibebe mimba tuliona kama nikifanya kazi basi nitachoka kwahiyo, nikaongea na huyo rafiki yangu. Nikamuambia mimi kuna kazi nyingine nimepata hivyo amuunganishie mpenzi wangu.

Haikua kazi ya Interview, ni kampuni moja ilikua inataka kujaza mtu harakaharaka hivyo hata haikutangazwa. Alinikubalia hivyo mchumba wangu akaunganishwa na akapata hiyo kazi.

Ina mshara mkubwa kama Sh4.6 milioni, tangu hapo maisha yetu yamebadilika sana, mwishoni mwa mwaka uliopita nilifanikiw kujifungua salama na sasa tupo katika mpango ya ujenzi wa nyumba yetu hapa Iringa mjini. 

Asante sana Kiwanga Doctors kwa kunifanyiwa job spells ambayo imebadilisha maisha yangu na mpenzi wake, basi wasiliana na naye kwa namba +254 116 469840 au tembelea tovuti yao.



Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI