Header Ads Widget

KIJANA AFUNGWA JELA MIAKA 49 KWA KUIUA FAMILIA YAKE


 Kijana wa Uingereza, Nicholas Prosper mwenye umri wa miaka 19 ambaye alimpiga risasi na kumuua mama yake na wadogo zake wawili, amehukumiwa kifungo cha miaka 49 jela.


Prosper amekiri kukusudia kufanya mauaji ya familia yake kabla ya kufanya mashambulizi ya risasi katika shule yake ya zamani, akiwa na lengo la kuiga matukio makubwa ya mauaji ya shule yaliyotokea zamani mwaka 2007 na 2012 nchini Marekani.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI