Header Ads Widget

JAMAA AMTUMIA MREMBO WA FACEBOOK TSH 200,000 KUMBE NI MKEWE

Naitwa Mama Tommy kutokea Arusha, nimekuwa katika ndoa kwa miaka zaidi ya saba sasa, kusema kweli mume wangu hajawahi kuonyesha kama ana mtu nje na yeye mara zote amekuwa akisema ni mwaminifu. 

Hata hivyo, amekuwa na udhaifu wake mmoja, yaani mwanaume ni bahili sijapata kuona, fedha yake inatoka kwa mahesabu marefu sana, yaani hata kuninunulia nguo ya sikukuu ni hadi tupigizane kelele. 

Sasa nikawa najiuliza kama wanaume anafanya kazi na kupokea fedha na hana michepuko huko nje kama anavyodai ni kwanini hatoi fedha zake katika familia yake?, ndipo nikaamua kumpima kwa njia hii. 

Basi nikafungua account ya Facebook kwa jina fulani la kike na nikaweka picha ya mdada mrembo mwenye shape, nikamuomba mume wangu urafiki kupitia hiyo account, kesho yake akakubali. 

Baada ya siku mbili akanitongoza nikakubali akasema yeye yupo single, nikamwambia mimi pia nipo Moshi na nipo single tu kama yeye. Akaniuliza kama tunaweza kuonana, nikamjibu sawa haina shida. 

Kesho yake akaniambia nimfuate Arusha, nikamuuliza nije kwako?, akasema hapa tutakutana katika moja ya hoteli za kitalii jijini humo ili tupate utulivu wa aina yake katika penzi letu jipya. 

Nikamwambia anitumie nauli, basi akatuma Sh200,000 kitu ambacho sikuamini macho yangu. Yaani tangu amenioa hajawahi kunipa fedha nyingi hivyo!. Basi nikajua huyo anajidai mbahili kumbe ni bingwa wa kuhonga huko nje. 

Baada ya kupokea fedha hizo niliifunga ile account ya Facebook na kunyamaza kimya, alirejea nyumbani akiwa kawaida tu kama siku zote, yaani kama hakuna ambacho kimemtokea, hivyo nikajua huyu ni bingwa wa kuhonga. 

Niliamua kwenda kwa Kiwanga Doctors na kumueleza jambo hilo, mtaalamu huyo kutokea Migori, Kenya alinifanyia dawa (pay me now spell) ambayo ililenga kuondoa ubahili wa mume wangu katika familia. 

Tangu wakati huo, mume wangu amekuwa akinipa fedha nyingi sana, ni hivi juzi tu katoka kunipa Sh500,000 kwa ajili ya matumizi yangu binafsi. Basi wasiliana na Kiwanga Doctors kwa namba +254 116 469840 au tembelea tovuti yao.


Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI