Header Ads Widget

MAKUMBUSHO YA TAIFA LA TANZANIA KATIKA UZINDUZI WA T 506 USD

Mkurugenzi Mkuu wa Makumbuaho ya Taifa  la Tanzania Dt. Noel Lwoga ameshiriki katika hafla ya uzinduzi wa program ya T 506 utalii tena Tanzania. 

Hafla hiyo iliyoandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii , imeadhimia kuipongeza Serikali ya Awamu ya Sita ya Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa jitihada za ziada za kufanikisha ongezeko la watalii nchini.

Aidha, hafla hiyo imeelezea mafanikio hayo kwa kufupisha na kuita T 506 USD ikimaanisha Watalii milion 5,300,000 wametembelea nchi yetu ambapo watalii Milion 3,200,000 ni watalii wa ndani na watalii Milliom 2,100,000 ni watalii wa nje. 

Pia namba 6 ni maoteo ya ilani ya kufikisha mapato ya shilingi Bilion 6. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.





Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI