Rasmi Klabu ya Simba imeongoza Kundi A Katika Kombe la Shirikisho barani Afrika mara baada ya Kuifunga Klabu ya CS Constantine Goli 2-0.
Katika Mchezo huo ambao ulikua wa kuhitimisha hatua ya Makundi umechezwa Katika uwanja wa Benjamin Mkapa ambapo Timu zote hizo zilikua zishafuzu hatua ya Robo fainali ya CCC.
Magoli ya Simba Sc yamefungwa na Kibu Denis na Leonel Ateba na kuifanya Simba Sc kufikisha alama 13.
0 Comments