Header Ads Widget

DC LUSHOTO AONGOZA WANANCHI KUFANYA USAFI MAADHIMISHO YA MIAKA 63 YA UHURU

Mkuu wa wilaya ya Lushoto Zephania Sumaye aongoza wananchi Katika kufanya usafi na zoezi la upandaji miti kwenye hospital ya wilaya ya Lushoto hikiwa ni siku ya maadhimisho ya kumbukizi ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika

Sambamba na hayo Dc sumaya amewasisitizia wananchi kufanya Usafi kwenye masoko na sehemu Mbalimbali za biashara zao na kuhimalisha kampeni za upandaji miti 

Sumaye amemshukuru Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuelekeza mahadhimisho ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika kufanyika kwa shughuli za kijamii hususani usafi na upandaji miti.





 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI