Shilingi bilioni 2 zimetolewa na REA kuendeleza mradi
Utunzaji wa mazingira umepewa kipaumbele kwenye utekelezaji wa miradi
Makete - Njombe
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipa kipaumbele sekta binafsi kutekeleza miradi ya nishati ya umeme kwa kuwekeza katika sekta hiyo na kuwezesha fedha ili wananchi waendelee kupata umeme wa uhakika nchini.
Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Nishati Jadidifu na Teknolojia Mbadala, Mha. Advera Mwijage alipotembelea mradi wa umeme wa Ijangala (Ijangala Mini Hydropower Plant 360 kW) uliopo katika wilaya ya Makete mkoani Njombe.
0 Comments