Chama cha ACT Wazalendo kimeshinda Mtaa wa Nyambwela ulioko Kata ya Tandika Jimbo la Temeke Mkoani Dar es salaam kufuatia kutangazwa kwa matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika November 27,2024.
Kwa sasa Mwenyekiti wa Mtaa na Wajumbe wote wa Serikali ya Mtaa huo wanatoka ACT Wazalendo ambapo Mwenyekiti aliyeshinda anaitwa Mussa Bakar Mussa.
0 Comments