Header Ads Widget

UWT TAIFA WAWAOMBA WANAFUNZI WA KIKE KUSOMA MASOMO YA SAYANSI.



UWT taifa yawaomba wanafunzi wa kike kujikita kusoma masomo ya sayansi ili waweze kulisaidia taifa hapo baadae maana wanasayansi wanawake ni wachache sana Tanzania ukilinganisha na wanasayansi wanaume.


Akizungumza wakati wa maadhimisho ya wiki ya UWT mkoa Lindi, Naibu katibu mkuu wa UWT Zanzibar Tunu Kondo aliwaomba wanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Nachingwea kusoma masomo ya sayansi ili waje kuwa viongozi bora hapo baada.


Kondo alisema kuwa masomo ya sayansi sio magumu kama watu wanavyosema, masomo ya sayansi inatakiwa kuyatengea muda wa kutosha ili uweze kuelewa zaidi na utaona ni masomo ya kawaida kama masomo mengine

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI