Header Ads Widget

MICHUANO YA KLABU BINGWA YANGA YAPANGIWA WABABE HAWA

 



Klabu ya Yanga imepangwa na Kundi A katika mashindano ya Klabu Bingwa ambapo imepangwa kundi moja na Al Hilal ya Sudan, USM Alger ya Algeria pamoja na TP Mazembe ya nchini DRC Congo.

Droo ya kupanga makundi hayo, imefanyika leo, Oktoba 7, 2024 jijini Cairo, Misri.


KUNDI A

1.TP Mazembe 🇨🇩
2.Young Africans (Yanga Sc) 🇹🇿
3.Al Hilal 🇸🇩
4.MC Alger 🇩🇿



Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI