Klabu ya Simba Sc imepangwa kwenye Kundi A la kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC ) msimu wa 2024/25 pamoja na CS Sfaxien ya Tunisia, CS Constantine ya Algeria na Fc Bravos ya Angola.
Droo ya Kombe la Shirikisho Afrika imefanyika huko jijini Cairo nchini Misri kwa ajili ya kuanza hatua ya Makundi msimu wa 2024/2025.
na hapa nchini ndiyo jinsi msimamo wa makundi ulivyo
KUNDI A #CAFCC
🇹🇿 Simba Sc
🇹🇳 CS Sfaxien
🇩🇿 CS Constantine
🇦🇴 Fc Bravos
MAKUNDI MENGINE #CAFCC
KUNDI B
1. RS BERKANE [Morocco]
2. STADE MALIEN [Mali
3. STELLENBOSCH [S.A]
4. CD LUNDA - SUL [Angolal
KUNDI C
1. USM ALGERS [Algeria]
2. ASEC MIMOSAS [Ivory Coast]
3. ASX JARAAF [Senegal]
4. ORAPA UNITED [Botswana].
KUNDI D
1.ZAMALEK [Misri]
2. AL MASRY
3. ENYIMBA [Nigeria]
4. BLACK BULLS
0 Comments