MBUNGE wa viti maalum kupitia mkoa wa Kilimanjaro, Zuena Bushiri ameshiriki zoezi la kujiandikisha katika daftari la mkazi ili aweze kupata sifa ya kupiga kura kuwachagua viongozi wake wa serikali za mitaa Novemba 27 mwaka huu ambapo Mbunge huyo amejiandikishia kituo cha Kiusa Sokoni kata ya Kiusa manispaa ya Moshi.
0 Comments