Header Ads Widget

WAZIRI NGWAJIMA AWAPA MBINU MAAFISA USTAWI WA JAMII KUKABILIANA NA VITENDO YA UKATILI

 


Na Esther Machangu,Moshi Kilimanjaro.

Waziri wa maendeleo ya jamii jinsia wanawake na makundi maalum Dr Doroth Gwajima amewataka maafisa ustawi wa jamii inchi kuhakikisha waafuata maadili ya kazi yao ikiwemo kusimamia wahanga wa ukatili kupatiwa haki yao.

Waziri huyo ameyasema hayo sept 20,2024 katika ukumbi wa shule ya polie moshi mjini.

Dr Gwajima ambaye alikuwa mgeni rasmi katika kufunga mkutano wa mwaka wa maafisa hao amesema vitendo vya ukatili wa kingono vimepungua kutoka asilimia 17,mwaka 2015 mapaka kufikia asilimia 12 mwaka 2022 Huku lego likiwa ni kufikia asilimia 0.

Kwa upande wake Dr Nandera Mhando amesema moja ya maadhimio waliyowekeana ni kuhakikisha maafisa ustawi hao wanawatambua watu wanaishi na ulemavu ili kuwapatia huduma stahiki.

Kauli mbiu ya katika mkutano huo wa mwaka ni Tanzania bila ukatili inawezakana imarisha mahusino chanya ya familia.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI