Mbunge wa jimbo la Mbeya vijijini Mhe. Oran Manasse Njeza, akipata chakula cha mchana alipojumuika pamoja na wanafunzi wa shule ya msingi Mwela kata ya Ilungu kwenye mwendelezo wa ziara yake akikutana na wananchi wake na kusikiliza kero zao ambapo katika kuunga mpango huo mzuri katika elimu amechangia shilingi laki mbili kuhakikisha watoto wanaendelea kula chakula shuleni.
0 Comments