Mfanyabiashara na billionea maarufu nchini kenya Hasu Patel ulitembezwa mjini mombasa ukiwa umekalishwa kwenye kiti, ikiwa ni sehemu ya watu kuaga na kutoa hshima za mwisho kwa billionea huyo mwenye asili ya asia.
Kama ilivyo tamaduni za Wahindu baada ya zoezi hilo mwili wake ulichomwa moto na mabaki yake yalipelekwa kwenye hekalu tano za jamii ya wahindu mjini mombasa.
0 Comments