Header Ads Widget

SOMA HABARI KUBWA MAGAZETINI JUMAMOSI AUGUST 24/2024:SAMIA AAGIZA HUDUMA ZIREJESHWE NGORONGORO,WAZIRI LUKUVI APONGEZWA

Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kurejeshwa kwa huduma za kijamii ikiwemo za elimu na afya zilizokuwa zimesitishwa katika Tarafa ya Ngorongoro.

Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi akizungumza na wananchi wa kata 11 zilizopo Tarafa ya Ngorongoro, akiwasilisha maagizo ya Rais aliyewatuma kuwasilikiza wananchi hao waliokuwa wamekusanyika na kukesha kwa siku 5 wakitaka kujua hatima ya malalamiko yao.

Aidha amesema Rais ameagiza uchaguzi katika tarafa hiyo kwa kutumia mipaka ya zamani, ufanyike kama unavyofanyika maeneo mengine nchini.


Kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii Wamepongeza Waziri Lukuvi kwa kazi nzuri aliyoanza nayo na kuwa wanaimani kubwa na utendaji wake ni kuwa Kasi ya enzi akiwa Waziri wa Ardhi ndio wameanza kuiona sasa.

 






NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA BAJAJI,BODA NA GARI ZA KUKODI NCHI NZIMA


NANI KAONA BUSY USAFIRI WA IRINGA DODOMA-0787428314

BODA BODA DODOMA: Jummanne Salim Bazana  eneo Dodoma Inn mukabara na TBC Radio PIGA 0760012455

DODOMA BODABODA UZUNGUN VODACOM JINA ELIAS PAUL 0678261211

DODOMA BODABODA ROJi UZUNGUNI VODA COM DODOMA 0683513354

BODA BODA DODOMA INN JOHN -0656 794 354

BODABODA RELIN DODOMA ADAM 0682936309

 BAJAJI DODOMA INN  AMASHA -0687599551

BAJAJI LOCK DODOMA -0755677617

BODA BODA LOCK DODOMA 0785222405

BAJAJI SABASABA DODOMA 0753532375

BAJAJI DODOMA LOCK HOTEL 0658889929

BAJAJI DODOMA INN-0618007230 JINA Mandela 

BODABODA LOCK HOTEL DODOMA 0755668873

BODABODA LOCK HOTEL DODOMA 0653581930

BODA BODA DODOMA INN -HAMIDU 0674606046

BODABODA DODOMA MAKOLE HOSPITAL   SUFIAN -0765144323

DALADALA IRINGA MJINI :+255747183979

COSTA YA KUKODISHA  DODOMA MJINI 0757492180

BAJAJI IRINGA MJINI MKIMBIZI +255765070026

BAJAJI IRINGA MJINI :0719076494

BAJAJI IPOGOLO IRINGA MJINI  0621561456

BAJAJI MKIMBIZI IRINGA MJINI 

+255745695113

BAJAJI IPOGOLO IRINGA MJINK 0621561456

BAJAJI IRINGA MJINI 

0682843021

STEPHEN KALINGA MKIMBIZI IRINGA MJINI 0766304031


BAJAJI IRINGA MJINI 

0626888874

BAJAJI MUSA IRINGA MJINI 

+255659714593

BAJAJI JAMES IRINGA MJINI +255774042415

BODA BODA IRINGA MJINI POSTA

MASHAKA +255618596914

BODA IRINGA M.R HOTEL 

0655759496

BODA IRINGA SAVANA 

+255768106869


BODA BODA DAR SOKO LA MABIBO 

0694665106


Matukio Daima App Tumekuja na huduma ya bure ya kutangaza usafiri wa Bajaji ,bodaboda na daladala ama gari za kukodisha bure ,iwapo wewe ni dereva tuma namba Yako kupitia namba hii 0754026299







Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI