MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA IRINGA (IRUWASA) INAWATAARIFU WATEJA WAKE KUWA,
KUMETOKEA WIMBI KUBWA LA WIZI WA MITA ZA MAJI KWA WATEJA.
IRUWASA IKISHIRIKIANA NA JESHI LA POLISI INAOMBA WANANCHI KUTOA USHIRIKIANO KWA KUWABAINI WANAOJIHUSISHA NA WIZI HUO.
KWA ATAKAYETOA TAARIFA KUHUSIANA NA WIZI WA MITA AU KUMKAMATA MWIZI WA MITA ATAPEWA ZAWADI YA SH. MILIONI MOJA (1,000,000/=)
PIGA SIMU NAMBA 0713 353 695:- WATOA TAARIFA WOTE WATALINDWA KWA USIRI
0 Comments