Header Ads Widget

WAZIRI WA UTALII NA MAMBO YA KALE ZANZIBAR ATUA KILI FAIR 2024

                         

Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga (katikati) akimuelezea jambo, Kaimu Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, Bw. Daniel Mainoya, jinsi Tigo na SMZ wanaweza kushirikiana kukuza utalii, katika banda la Tigo, lililopo Viwanja vya Magereza Kisongo - Arusha Tamasha kubwa la Utalii Afrika Mashariki ( Kili Fair 2024. )



.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI