Kaimu mkurugenzi wa elimu ya mlipa Kodi na mawasiliano kwa umma wa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA)Hudson Kamoga amesema mamlaka hiyo Ina mahusiano mazuri na walipa Kodi na kuwa taarifa za wafanyabiashara Iringa kudaiwa kugoma mei 31 mwaka huu hazikuwa na ukweli wowote na hakuna mgomo wa wafanyabiashara kugoma Iringa .
TAZAMA FULL MAHOJIANO HAPA CHINI BOFYA LINK HII CHINI
0 Comments