Siku Zote kujituma kwenye kazi ni fursa kubwa ya kusonga Mbele na kupata Mafanikio makubwa mbeleni ,Kenani Kihongosi ni kijana aliyeonesha Mapambano ya maisha na kuwa na nidhamu ya kazi toka Enzi hizo akiwa mjini Iringa baada ya kuhitimu chuo alijikita kwenye kazi ya boda boda na kukitumikia Chama kupitia UVCCM.
Leo faida ya kujituma na kuwa na nidhamu kwa Kila mtu tunashuhudia Kihongosi akiwa RC wa Simiyu japo Sina shaka na uteuzi wake kwani naamimi amefiti na ataleta chachu mpya ya utendaji na hivyo Simiyu wamepata RC wa mchakamchaka.
0 Comments