Header Ads Widget

KAMATI YA BAJETI YAKUTANA KUJADILI MFUMO WA UKUSANYAJI MAPATO.

 



Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya bajeti Mhe. Oran Njeza ameongoza kikao cha kamati hiyo kwa ajili ya kupokea taarifa ya ukusanyaji mapato kupitia mfumo wa Tausi kwenye mamlaka za Serikali za mitaa, kikao ambacho kimefanyika jumatano hii (Juni 05, 2024) katika ukumbi wa Pius Msekwa jijini Dodoma na kuhudhuriwa na wajumbe wa kamati hiyo wakiwemo Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohammed Mchengerwa na naibu waziri wake Mhe. Zainabu Katimba.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI