Taarifa zilizotufikia kutoka mkoani Simiyu zinaarifu kukamatwa kwa mwandishi wa habari wa gazeti la Uhuru na Mzalendo mkoani Simiyu Costantino Mathias .
Mwenyekiti wa Klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Simiyu Frank Kasamwa amekiri kupokea taarifa ya kukamatwa kwa mwandishi huyu japo alisema katibu wake Samira Yusuph anafuatilia kujua tatizo ni nini maana yeye anasumbuliwa na homa .
Matukio Daima media tunaendelea kufuatilia kumtafuta RPC Simiyu tutawajuza
0 Comments