Askofu Maximilian Machumu
(Mwanamapinduzi) akamatwa na Polisi muda huu kwa tuhuma za uchochezi, Jeshi la Polisi wanasema Askofu Mwanamapinduzi alitoa kauliza ya uchochezi akiwa kwenye mojawapo wa Mkutano uliofanyika Jimbo la Mkalama mkoa wa Singida.
0 Comments