Header Ads Widget

VITUS NKUNA JIWE WALILOLIKATAA WAASHI CHADEMA MKOANI WA IRINGA


 Kada maarufu wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Iringa ambae aliangushwa kwa zengwe katika Uchaguzi wa Uenyekiti wa Baraza la Vijana (BAVICHA ) mkoa  wa Iringa Iringa hatimaye amefanikiwa kuwa mwenyekiti mpya wa BAVICHA Kanda ya Nyasa hivyo ni sawa na ule usemi wa wahenga kuwa Jiwe walilolikataa waashi sasa limekuwa Jiwe kuu la pembeni.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI