Header Ads Widget

RC AANZA KUGAWA MIKATE SIAGI NA CHAI YA MAZIWA

 

Mkuu wa mkoa wa kusini Unguja Rc Ayoub Mohammed Mahamoud amekabidhi Sukari kilo 50 ,Siagi , maziwa na mikate kufuatia ahadi aliiyoitoa ya kugawa chai asubuhi katika ofisi yake kwa watumushi fedha ambayo itakua ikitoka kwenye mshahara wake ili kuondoa uzembe wa kuzurura na kuongea na simu nyakati za kazi

Uwamuzi huo umekuja kufuatia kampeni zinazoanza katika mkoa huo ikiwemo kustukiza katika tasisi za serikali kwa watumishi huku akianza kuondoa changamoto ambazo alizodai kua haridhishwi nazo katika ofisi hiyo ya mkoa wa Kusini

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI